-
Christianityworks
In Depth Weekly Bible Teaching: Join Berni Dymet as he opens God's Word to discover what God has to say into your life, today. Watch, listen or read. Whichever works best!
-
FRESH Daily Devotional
Daily Devotional taking you deeper into God's Word + closer to Jesus. Watch, listen or read. It's your choice. Even subscribe to have it delivered directly to you!
-
A Different Perspective
Daily 10 Minute Message exploring issues we all face in life ... from a different perspective; the sorts of things that really matter day-to-day. Listen or read. It's up to you.
-
kuwa wa kwanza
Inawezekana wewe au mimi hatutakuwa wenye kukimbia mbio kuliko wengine, wala kuwa aliye na akili zaidi au atakayepata mafanikio kati ya kundi. Lakini kuna kitu ambacho ...
-
Matunda Yapasayo Toba
Je! Umewahi kujaribu kuachana na tabia yako mbaya? Sio rahisi. Hailishi kama ni uvutaji wa sigara, kula vibaya, umbeya au nini – kawaida mwanadamu anajitahidi ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Dahana ya msamaha
Ninataka kuwa wazi mbele zenu. Zamani sikuwa mtu mwema hata kidogo. Tangu nilipokuwa kijana, nililenga ushindi na mafanikio, kwa hiyo nilikuwa tayari kukanyaga awaye ...
-
Kuwa Karibu na Mtu
Mtu ye yote aliyewahi kulea watoto anafahamu umuhimu wa kusherehekea mafanikio yao na kuwa karibu nao wakati wanaumia. Tunafahamu hayo kwa sababu ni silika ya ...
-
Utayari wa Kufundishwa
Ebu fikiria, wewe ni mama anayeandaa chakula kitamu, lakini kumbe! Katikati ya maandalizi yako, unakuta umeishiwa kiambato cha muhimu katika upishi wako. Unaenda ...
-
Essential Life Skills (1)
Many people are missing the essential skills they need, to live the life they want to live. All too often, life skills are left to chance. We’re meant to absorb them by ...
-
Essential Life Skills
Good life skills are essential to living a good, effective a fulfilling life. And yet in most cultures, the learning of those life skills is left to chance – particularly in ...
-
Kupokea Ushauri wa Mtu Aliyefungwa Jela
Kama mtu angekuandikia barua kutoka gerezani akikushauri jinsi inavyokupasa kuishi, je! Ungepokea ushauri wake? Naona ingetegemeana lakini bila shaka ungalikuwa na ...
-
Kumwita Mungu
Je! Umewahi kutenda jambo baya mno na kumwumiza mtu vibaya, mtu ambaye unampenda kiasi cha kutokuweza kufikiri kwamba unaweza kusamehewa? Unashindwa kufikiri jinsi ...
-
Je! Utaafikiana na Uovu?
Kuna wakati tunajikuta katika kitendawili cha maadili. Kwa upande mmoja, mtu anafahamu yaliyo mema na kwenye kiini cha moyo wake anataka kutenda haki. Lakini ushawishi ...
-
Unasimama Wapi?
Sijui kama umeshaona jinsi maisha yakiendelea shwari, unao watu wengi walio karibu yako, lakini wakati mambo yanaanza kukuharibikia, wengi wao wanatoweka? Hii ...
-
Mambo Ambayo Bwana Alikuandalia
Wakati unajaribu kuishi vizuri na kuwa mtu mwema mwadilifu, lakini wote ambao wanaokuzunguka wanatenda visivyo – unaweza kuanza kujiuliza, “Je! Kwa nini kujisumbua hivi, ...
-
Hekima Inayowawia Vigumu Watu Kuikubali
Wenye mamlaka na madaraka duniani – yaani watawala wa mataifa, mabiliyonea, mashuhuri, “washawishi” mtandaoni – wote wanafanana kwa mambo mawili. Kwa muda huu, kweli ...
-
Hekima Iliyokuwepo Kabla Dunia Haijaumbwa.
Sehemu za gazeti au kwenye mtandao zinazosimulia jinsi mtu anavyoweza kujiinua mwenyewe, zimejaa hekima ya kidunia inayoshawishi kwa njia mbali mbali, zingine za ajabu-ajabu na ...
-
How to Live an Extraordinary Life (Pt 4)
Let’s face it, we only get one crack at living our lives on this earth. Before you know it, it’s over. So why waste it? I mean … we can live an ordinary life. A safe life. A ...
-
Watawala Wakipoteza Mamlaka Yao
Mtu akichunguza mazingira ya ulimwengu huu, ataona kwamba kuna madikteta wanaotawala nchi baadhi, wanaoamuru watu jinsi wanavyopaswa kuishi hata yale ambayo wanayotakiwa ...
-
Nguvu, Upendo, Kimbilio
umeshakukutana na mtu ambaye mambo yake yote yanaonekana kuwa sawa? Ana ajira nzuri, ana hela za kutosha na familia inayopendeza sana. Juzi nilikuwa ninaongea na rafiki ...
-
Nakupenda Sana
Nadhani hakuna kitu kinachotisha kabisa kama tetemeko la ardhi. Yaani ardhi chini ya miguu yako inayumba-yumba, wewe ukingoja jengo likuangukie pande zote na kukuseta chini ...
-
Maneno Mapya
Haijalishi unaongea lugha gani nyumbani, maneno mapya na sentensi mpya vinaongezwa kila wakati kwenye kamusi yako kuliko unavyofikiria. Lakini hilo si jambo jipya. Baba wa ...
-
Uwe na Moyo Safi
Nadhani sisi sote tumewahi kutendewa jambo zuri na mtu, na isitoshe- alikutendea kwa nia njema na moyo safi kabisa. Hii inapendeza sana. Lakini pia, nadhani umewahi kuona ...
-
Wakati Biliyonari Anafariki Dunia
Ulimwengu kwa ujumla, umetawaliwa na tamaa ya mali, si kweli? Pesa, pesa, pesa. Nawezaje kupata zaidi? Nawezaje kongeza mapato angalau kidogo ili niweze kununua ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Je! Mungu Ananisikiliza Kweli?
Je! Umewahi kutembelewa na mtu aliyekuomba ushauri na ulipomshauri, ulijiuliza kwa nini alikujia? Ni kama hataki kujua. Ni kama hakusikilizi. Mwanangu mmoja, ...
-
How to Live an Extraordinary Life (Pt 3)
Let’s face it, we only get one crack at living our lives on this earth. Before you know it, it’s over. So why waste it? I mean … we can live an ordinary life. A safe life. A ...
-
Macho ya Kuona
Ni ajabu, ukitafakari kidogo, jinsi mitazamo yetu hasi na changamoto za zamani vikiunganika na hali ya kubanwa leo vinazidi kupotosha maono yetu … na hii inasababisha ...
-
Kujinyenyekesha
Wiki hii tumekuwa tuna masimulizi kuhusu ukubwa, ukubwa halisi. Sio ukubwa bandia unaotolewa na utamaduni wetu unaotafuta umaarufu, hapana; lakini ukubwa unaoweza kutikisa ...
-
Chumvi Isiyo na Ladha Tena
Chumvi ni kitu ambacho tunatumia kila siku kwa kukoleza chakula chetu kwa kuboresha ladha yake. Lakini hata kama chumvi ni muhimu sana kwa binadamu, mara nyingi hatuwazi ...
-
Si wa Kwetu
Ninaendelea kushangaa mno nikiangalia jinsi tumetawaliwa na ukabila na vikundi siku hizi, bila hata kufahamu. Hua inatokea kwenye michezo, na kwenye siasa pia, na hii ...
-
Kupanga Upya Vipaumbele Vyetu
Kuwahudumia watu wengine ni jambo ambalo tunafahamu linafaa tulifanye. Lakini kwa upande mwingine, mara nyingi tunaona kwamba ni usumbufu, haipendezi … hata kuwa ...
-
Dhana mpya Kabisa
Sababu kubwa ya watu kubishanabishana hapa duniani ni kwa sababu wanataka kujua ni nani aliye mkubwa; ni nani wa kwanza; ni nani anayeonekana kushangaza zaidi, ni nani kiongozi wa ...
-
Tabia Inayoaibisha
Shauku ya kusifiwa na kupendwa ni siri iliyomo moyoni mwa watu wengi. Mara nyingi inadhihirika katika maneno yetu na mienendo pia … na ikionekana hivyo, haipendezi. ...
-
How to Live an Extraordinary Life (Pt 2)
Let’s face it, we only get one crack at living our lives on this earth. Before you know it, it’s over. So why waste it? I mean … we can live an ordinary life. A safe life. A ...
-
Kutafutwa Sana
Ni rahisi mtu kujidanganya kwa kufikiri kwamba; yeye ni mtu muhimu duniani kuliko wengine; kwamba huduma zake zinatafutwa sana; yuko busy, busy, busy, na ndio lengo la maisha ...
-
Uwezo wa Neno Lake
Uovu unatuzunguka kila pande, ukiangalia tu utauona. Lakini mara nyingi hatutaki kuangalia kwasababu; uovu umezidi mno. Kwahiyo, tunajikuta tunaendelea na maisha yetu ...
-
Ushangae
Sijui umekaa kanisani siku ngapi mpaka leo, lakini mimi siwezi kuzihesabu kwa kuwa ni nyingi. Mimi nilianza nikiwa mtoto mdogo. Kukaa kimya saa nzima; kusema ukweli ...
-
Yesu Anaanza Kazi
Kuanzisha jambo jipya daima; ni kama kubahatisha. Mtu anaanza hatua ya kwanza akiwa na mashaka. Anataka aanze vizuri. Na Hataki kuwakwaza watu siku ya ...
-
Kipindi cha Majaribu
Mambo yanatubana vibaya – aidha kimwili, kihisia au kiroho – sijui kama umeshaona, hapo ndipo majaribu yanakujia kasi. Ni kama kuna mtu anayeona jinsi unavyopambana, ndio ...
-
Ubatizo wa Roho Mtakatifu
Je!, Umewahi kujiuliza Ubatizo una maana gani? Ni zoezi lisilo la kawaida; lakini limetumika karne nyingi – kwanza katika dini ya Wayahudi; baadaye katika Ukristo. ...
-
Kuandaa Njia ya Bwana
Mimi nimeshaona, kuna wakati Mungu anatenda mambo ya ajabu-ajabu. Yawezekana na wewe umeshashuhudia hayo. Yaani mambo ambayo hatukuyatazamia kabisa, hadi tunajiuliza, ni Kwa ...
-
How to Live an Extraordinary Life (Pt 1)
Let’s face it, we only get one crack at living our lives on this earth. Before you know it, it’s over. So why waste it? I mean … we can live an ordinary life. A safe life. A ...
-
How to Live an Extraordinary Life
Let’s face it, we only get one crack at living our lives on this earth. Before you know it, it’s over. So why waste it? I mean … we can live an ordinary life. A safe life. A ...
-
Msingi wa Umilele
Ni kipi kinakusukuma kuendelea na mahangaiko ya maisha ya kila siku ukikumbana na magumu mara kwa mara? Je! Unatazamia kuona nini? Je! Una matumaini kitu ...
-
Msingi wa Kujitoa
Kuna mabadiliko makubwa yanayofanyika kwenye mitazamo ya watu, mtazamo ambayo haikuanzia leo. Ni kama dunia nzima inatoka kwenye mtazamo wa umma na ushirikiano kwenda kwa ...
-
Msingi wa Utakatifu
Acha nikuuliize leo swali la tafakari kidogo halafu unijibu. Je!, Kipaumbele kilichopo maishani mwako ni kipi? Eeh, vipaumbele ndivyo vinavyomwongoza mtu katika maisha ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Msingi wa Utakaso
Kujitakasa, hajilishi ni jambo gani katika maisha yako, ni vigumu. Yaani tabia za zamani ni vigumu kuzivunja na kuziacha. Tabia zile zinanang’ania sana zikitaka ...
-
Msingi wa Uwezeshaji
Najua tunafahamuu vizuri kama tuna mapungufu; kwamba inatubidi turekebishe hapa na pale katika maisha yetu. Lakini ni vigumu mno kujilinda kotekote. Yesu anataka ...
-
Msingi wa Toba
Swali, Kama Mungu anasamehe dhambi zetu kupitia sadaka ya Yesu alipomwaga damu yake pale msalabani, sasa ni kwanini ni lazima tubadilishe mienendo yetu na kuacha dhambi zilizokuwa ...
-
Msingi wa Wokovu
Ni vizuri mara kwa mara kujikumbusha mambo ya msingi, Halafu jambo muhimu na la msingi kuliko yote; ni kujua mahali mtu utaishi milele, eee, kwasababu milele ni muda mrefu ...
-
Living Life as an Ambassador of Christ (Pt 2)
Many, many people believe in Jesus Christ – and yet somehow there’s a gap between what they believe and how they live. It seems that other people are out there doing things ...
-
Mungu Alikuumba kwa Ajili ya Ushindi
Dhana ya kuishi maisha ya ushindi inavutia; lakini pia inaweza kuelezwa vibaya hususani katika ulimwengu wetu wa kisasa wa wanadamu wanaofikiri kwamba mafanikio ndiyo lengo na ...
-
Uwezo wa Kuhisi Maono ya Mwingine
Uwezo wa kuhisi maono ya mwingine unaonyesha upendo unaovutia tena wenye nguvu kuliko hisia zote za binadamu. Kumjali mtu na kuumia pamoja naye, au kushangilia pamoja naye, ...
-
Dhabihu Iliyokubalika Mbele za Mungu
Kwetu ukiona mwanaume anatembea barabarani kashika maua ni aidha kuna mtu anataka kumuonyesha upendo au ni siku kuu fulani … au pengine anataka kumuomba msamaha mpenzi wake ...
-
Je! Umewahi Kujiuliza, Kwa Nini …
Hivi umewahi kujiuliza mara kwa mara ni kwanini furaha uliyokuwa nayo, furaha unayoamini kwamba Mungu anataka uwe nayo, imetoweka?…Ni kama Mungu amekuacha!. Angalia, kuna ...
-
Kuoshwa Kuanzia Ndani
Mtu akitafakari kidogo, atagundua kwamba matendo yetu yanatokana moja kwa moja na mambo yanayoendela moyoni. Shida iliyopo ni kwamba mara nyingi hatutulii na kutafakari. ...
-
Ujiweke Wazi Mbele za Mungu
Muda ule tunapotoka na kwenda njia mbaya, hvi huwa tunajua kama tumetenda yasiyo haki!, gafla tunakimbia na kujificha Mungu asituone. Haieleweki kabisa, lakini ndivyo ...
-
Uovu Utaisha Lini?
Tukizingatia yanayoendela duniani, wengi wetu tunajiuliza – Je! maovu hayo yote yataisha lini? Hili ni swali zuri linaloeleweka. Yataisha lini? Kwanini Mungu wa ...
-
Living Life as an Ambassador of Christ (Pt 1)
Many, many people believe in Jesus Christ – and yet somehow there’s a gap between what they believe and how they live. It seems that other people are out there doing things ...
-
Uwezo Mkubwa wa Maneno
Laiti tungeelewa uwezo mkubwa wa maneno yetu, ingekuwa vizuri sana Niliwahi kumsikia mtu mmoja akisema kwamba, maneno tunayowaambia watu wengine yanaweza kuleta uzima au ...
-
Unaweza Kutegemea Uaminifu Wa Mungu?
Hivi huwa unafanyaje pale unapojikuta sehemu ngumu sana, ukijisikia kama uko peke yako? Nijibu!, huwa unafanyeje!?, huwa unavumilia tu au huwa unamlilia Mungu? Hisia ...
-
Pale Shida Zinapobadilika na Kuwa Miujiza
Kawaida maisha huwa yanaendelea tu, mtu akifanya kazi ile ile siku baada ya siku. Kama vile mshauri wangu mmoja mwenye busara anavyopenda kusema, Kuna siku zingine inabidi ...
-
Mafao ya Maonyo
Sijaona mtu anayependa maonyo, au mtu anayefurahia kuwekwa chini ya nidhamu na kukaripiwa kwasababu ya mwenendo wake. Sijui kwako wewe? Watu wengi nikiwemo mimi – wanajidhibiti ...
-
Ushahidi wa Imani Yako
Sijui kama umewahi kujiuliza kama watu wengine wameshagundua kwamba uko tofauti na wengine? Labda wakishuhudia upole wako, wema wako, unyenyekevu na ukunjufu wako … hekima ...
-
Kufa Kila Siku Kwa Ajili ya Kristo
Tukisema ukweli kabisa, mambo mengi tunayoyatamani hapa duniani yanatokana na ubinafsi wetu tena hayana mwelekeo … mengine ni mabaya matupu. We kubali tu, nivigumu ...
-
Upasuaji Mkubwa Unaohitajika
Wengi wetu tunaweza kutenganisha mema na mabaya. Sasa huwa tunajaribu kutenda mema kuliko mabaya. Tuzidi kidogo kutenda mema. Tupunguze maovu. Labda hii ...
-
When God Speaks (2)
So many people are asking the questions “How can I hear God speak to me?” and yet they leave their Bibles on a shelf somewhere gathering dust. There is such incredible power ...
-
Maelekezo ya Kufanya Amani (5)
Kuwa na amani hakuhusu mambo yanayotupata kutoka kwa watu wengine tu, au mazingira yetu au changamoto za maisha, lakini pia, amani inahusu namna mtu anajielewa na kukubali na ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Maelekezo ya Kufanya Amani (4)
Sawa. Sasa mtu atawezaje kweli kweli kuwa na utulivu na amani ya Mungu – hali ambayo hata wewe unashauku nayo –Saa Mtu anawezaje kuwa na hali hiyo? Mimi ni jamaa ...
-
Maelekezo ya Kufanya Amani (3)
Ni kipi kinasukuma mawazo yako kila siku? Ni yapi yanayosababisha ufanya kile unachokifanya? Ni yapi yanasababisha uwe kama ulivyo? Karibia watu wote, kama ni wa ...
-
Maelekezo ya Kufanya Amani (2)
Tukisema ukweli bila kuficha, ni kwamba, mtazamo wako dhidi ya watu wanaokusumbua unaweza kulinda amani ya Mungu ndani yako au unaweza kukukosesha amani, huwa inategemeana. ...
-
Maelekezo ya Kufanya Amani (1)
Kuna mambo mengi yanaweza kumkosesha mtu amani. Lakini la kwanza kabisa ni mahusiano yetu na watu wengine. Mfano, wakorofi. Migogoro. Neno kali au hata ...
-
Ndani ya Kitovu cha Dhoruba
Kuna mambo huwa yanatokea maishani ambayo yanatisha kweli. Wakati mwingine, maisha yanatushurutisha kufanya kazi hadi mtu anachoka kabisa. Hata iweje, kinachohitajika ...
-
Namna ya Kuutambua Uongo
Siku hizi tumezungukwa na udanganyifu kila mahali, ni kweli, tangu miaka zamani watangazaji pamoja na wahariri wa vyombo vya habari wameegamia upande ule wanaopenda, lakini siku ...
-
When God Speaks (1)
So many people are asking the questions “How can I hear God speak to me?” and yet they leave their Bibles on a shelf somewhere gathering dust. There is such incredible power ...
-
When God Speaks
So many people are asking the questions “How can I hear God speak to me?” and yet they leave their Bibles on a shelf somewhere gathering dust. There is such incredible power ...
-
Je!, Unanung’unika Kiasi Gani?
Hakuna ubaya kama mtu anayenung’unika kila siku, Mtu anayenung’unikia kila jambo; kana kwamba dunia nzima ni mdaiwa wake. Kwake hakuna yaliyo bora wala hakuna mtu ...
-
Matazamio Yasiyowezekana
Sasa hivi una matazamio gani huko mbeleni? Bila shaka unatazamia yaliyo mema, si kweli? Labda uwekwe huru kutoka kwenye matatizo uliyonayo sasa. Lakini mara ...
-
Uende Kasi au Uende Mbali
Kazi ya pamoja inasifiwa kote duniani– kwenye kampuni zinazopata mafanikio makubwa, kwenye timu za michezo, kwenye makanisa, ndani ya familia. Ni dhana zuri sana, ...
-
Kitu Ambacho Mungu Hawezi Kukibariki
Kuna wakati inaonekana kama Mungu yuko mbali nasi kiasi cha kilomita milioni naa. Hisia kama hizo zinatatanisha sana, unahisi kama kuna pengo Labda leo unatazamia nikwambie ...
-
Kwanini Kuhangaikia Utakatifu?
Kuwa mwema na kutenda mema huwa ni vigumu saana, kwani kuna faida gani ya kuwa mwena na kutenda mema, si kujihangsisha tu! Jaribu kukumbuka ni lini ulijikuta unaogelea kinyume cha ...
-
Je! Biblia ni Hadithi za Kusadikika za kitoto!?
Tukiwa wa kweli, kitabu ambacho Wakristo wanakiita “Biblia” kina matukio ya ajabu mnoo ambayo ni vigumu mtu kuyaamini. Yesu kabadilisha maji kuwa divai; Yesu katembea juu ya ...
-
Pale Moyo Uliovunjika Unabadilishwa na Kuwa Baraka
Labda nitakusumbua kwa maswali leo!, Hivi, Umewahi kuvunjika moyo? Je! Umewahi kuhisi kama mambo yako hayako sawa!?; ya kwamba hauna nguvu tena za kupambana na ...
-
How to Get Over Yourself and Live (Pt 2)
In our natural human state of existence we presume that we are the centre of the universe. Our needs, our comfort, our wants and desires and opinions and …. We have a name ...
-
Muda Ukiwadia
Sisi sote tunayo matazamio na ndoto. Siku moja hiki kitatokea … siku moja, kile nacho kitatokea … na mawazo kama hayo ni mazuri. Mungu anatenda kazi kwa ...
-
Umtumikie Mungu kwa Moyo Mkamilifu
Je! Umewahi kutendewa jambo fulani na mtu alilifanya kwa shingo upande? Ni kama huwezi kulifuriahia vizuri kwa sababu hakulitenda na moyo wa upendo. Lakini ukweli ni ...
-
Nguvu Zinatoka kwa Mungu
Kuna kipindi maishani hata tukijitahidi, hata tukajitolea kwa nguvu gani mambo hayaendi kabisa. Yaani hatuoni pa kupitia na kusongambele. … ndipo tunaweza kupumbazika ...
-
Usitegwe
Wazo la kushikwa na mtego aina yo yote linatisha kweli. Ebu fikiria kama ungefungiwa ndani ya chumba katika meli inayozama baharini. Au fikiria kuwa umetumbukia ndani ...
-
Kama Unayo Mashaka
Sijui kama uko tayari leo kupitia nami kwenye njia ya kumbukumbu ya maisha – yale makona yasiyotazamiwa, sehemu ndefu za ukame na matembezi kwenye bustani inayopendeza, siku za ...
-
Upuzi wa Msalaba
Naweza kukuuliza leo, je! Una akili kiasi gani? Ukiangalia nyuma katika maisha yako, je! Umefuataje njia ya hekima? Pengine umefaulu vizuri. Lakini pia, ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Acha Fitina
Haijalishi ni watu akina gani wakikusanyika pamoja, wala hailishi kundi lao lina lengo gani, lazima mafarakano yatajitokeza. Ugomvi utafuata na hatimaye watagawanyika ...
-
How to Get Over Yourself and Live (Pt 1)
In our natural human state of existence we presume that we are the centre of the universe. Our needs, our comfort, our wants and desires and opinions and …. We have a name ...
-
Mungu ni Mwaminifu
Hata kama taratibu za elimu zimebadilishwa kidogo siku hizi, bado dhana ipo ya kupasi au kufeli. Au mtu anapata maksi za kumpitisha au la. Au anatunuliwa cheti cha ...
-
Mungu Atakuthibitisha
Kustahimili ni neno ambalo hatupendi, wewe na mimi, kwa sababu inamaanisha mateso kupitia majaribu na kuyavumilia mpaka mwisho. Ni nani anapenda hayo? Sio wewe, wala ...
-
Umepewa Vitu Vingi Sana
Kuna watu baadhi wanapenda sana kupokea zawadi – ndivyo walivyoumbwa. Ni njia inayowapendeza zaidi kwa kupokea upendo na kujenga urafiki. Wengine sio sana. ...
-
Umebarikiwa
Tuwe wazi. Kuna mara mambo hayaendi vizuri kama tunavyotaka … hata kidogo. Watu wengine wanaendelea vizuri tu. Wengine ni kama wanaona baraka katika ...
-
Neema na Amani
Ukikutana na mtu ambaye ni siku nyingi hamuonani, je! Unamsalimiaje? Au wakati unamwandikia barua (labda siku hizi, barua pepe), unaanzaje? Agano Jipya kwa sehemu, ni ...
-
Umeteuliwa
Mimi ninajiuliza ingekuaje kuwa mchezaji maarufu, mwanamume au mwanamke, aliyechaguliwa kuwakilisha taifa lake kwenye mashindano ya kimataifa. Ni heshima kubwa, ni fursa ...
-
Salama Zitokazo kwa Sosthene
Tunaishi katika ulimwengu unaotukuza mashuhuri na mashujaa … warembo, matajiri, na mtu awaye wote aliyekusanya wafuasi wengi mwezi fulani kwenye mtandao … halafu sisi ...
-
Wisdom to Transform Your Life (2)
There’s probably not a single person on this planet who doesn’t want to be wise. But there are a couple of problems with this whole wisdom thing. Firstly, it’s not always ...
-
Uhuru wa Kweli
Je! Ungependa kuwekwa huru na mzigo wa dhambi? Nadhani sisi sote tunayo shauku kuwa huru nayo. Sasa habari njema ni kujua kwamba ni kwa sababu iyo hiyo Yesu ...
-
Ondoa Vya Kale, Ingiza Vipya
Nadhani sote tungekubaliana kwamba kwa ujumla sheria na amri ni nzuri. Si zote lakini karibia zote. Lakini amri fulani kwenye kitabu ya sheria ina maana gani kama ...
-
Mtumishi Mwenye Moyo
Pengine umeshasikia habari ya vimeng’enya, lakini je! Unakumbuka kazi yao? Vimeng’enya ni aina ya protini ndani ya mwili vinavyochochea mjibizo katikati ya ...