... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Mwili Wako wa Ufufuo (2)

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favourites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

1 Wakorintho 15:44-50 Hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko. Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha. Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho. Mtu wa kwanza atoka katika nchi, ni wa udongo. Mtu wa pili atoka mbinguni. Kama alivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni. Na kama tulivyoichukua sura yake yule wa udongo, kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni.

Listen to the radio broadcast of

Mwili Wako wa Ufufuo (2)


Download audio file

Nafikiri tunaweza kukubaliana kwamba pamoja na kuwa na mwili wenye nyama na damu, mwanadamu, kwenye kiini cha moyo yake ana sehemu ya kiroho inayomtambulisha pia. 

Katika maisha haya, mwili ndio unapata kipaumbele, ukifuatwa na fikra na hisia za mtu, Hayo ndio tuliolithishwa na Adamu na Hawa. 

Kama unamwamini Yesu, basi mwili wako wa ufufuo ambao utakavalishwa milele, utakuwa ni mtu mpya.

1 Wakorintho 15:44-50  Hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho.  Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.  Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.  Lakini hautanguliii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho.  Mtu wa kwanza atoka katika nchi, ni wa udongo.  Mtu wa pili atoka mbinguni.  Kama alivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni.  Na kama tulivyoichukua sura yake yule wa udongo, kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni. 

Hayo ni mambo yatarajiwayo kabisa. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy